hunchback
JF-Expert Member
- Nov 10, 2014
- 658
- 289
Yawezekana wewe haikugusi moja kwa moja lakini swala la makato ya Data kwenye mitandao ya simu yamekuwa mzigo kwa wengi. Kuna mtandao mmoja kila baada ya wiki mbili unaongeza ada ya Data au kupunguza kifurushi cha data.
Toa maoni/mchango wako nini kifanyike yawezekana serikali yetu 'sikivu' itasikia na kufanya kitu..
Toa maoni/mchango wako nini kifanyike yawezekana serikali yetu 'sikivu' itasikia na kufanya kitu..