Mambozz,
Naomba kuuliza swali la msingi. Hv tunaponunua LUKU kwa mitandao ya simu au kwa MaxMalipo tunakatwa kiasi gani au asilimia ngapi ya kulipia huduma hiyo?
Maana nimegundua nikiwa na salio taslimu na nikataka kununua umeme kwa pesa yote ya salio naambiwa salio halitoshi.
Halikadhalika kwa max malipo ukijumlisha ule mchanganuo, total inakuja pungufu ya hile pesa uliyotoa. Naomba kueleweshwa tafadhali.
Asanteni.
Sent using Jamii Forums mobile app