Habari nzuri ndugu,
Basic Salary ni salary ambayo haina Allowances zozote.
Gross Salary ni salary ambayo ni Basic Salary + Other Allowances.
Kuna makampuni mengi ya mifuko ya Hifadhi ya Jamii,mie nitayaelezea matatu hapa(NSS,GEPF na PPF).
NSSF wanakata 10% ya Gross Salary,PPF Wanakata 10% ya Basic Salary,GEPF wanakata 5% ya Basic(Gross not sure).
Chagua mfuko wanaokata kwa Gross au 5% ila waajiri wengi hawaupendi GEPF kwa sababu unawalima wao 15%.
Incase you need more clarifications,don't hesitate to holla back.