Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,108
- 34,933
Bora nile wali tu
Bora nile wali tu
Utaota mpunga tumboni. Lol
Mi napenda chapatiii za nyama farkhina:banghead::banghead:
Utaota mpunga tumboni. Lol
hapo ndio tamu balaa ila kama ni vegeterian itabidi uungane na mzizi..Yanavutia sana mie hupenda kula na nyama ya kusaga.
hapo ndio tamu balaa ila kama ni vegeterian itabidi uungane na mzizi..
Mazoea mabaya Mkuu, miye macaroni naona yananoga sana na nyama ya kusaga. Siku moja nitajaribu kuongeza na njegere.
Mwwee, ntajaribu hii. In sha Allah.
Hairuhusiwi kuweka nyama haya kdg?