Makapuku Forum

Ila kwa kweliii ...kwahiyo unaniona ndo nina hisa kubwa kwenye hili jukwaa...ngoja sakayo atakusimulia kuwa hili jukwaa lina wenyewe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
mm najua ww n baby wangu bas nafanya chochote tu nachojiskia ujue nazidi kukupenda tuuu Mungu azidi kuniwekea jamaan na vituko vyako vyote mm nakupenda ww tu [emoji8] [emoji8] [emoji8]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…