No!!! Kakae utulie baada ya wiki kama maamuzi yako yatakuwa haya nitasaini.....huko ulipo inawezekana umetumia jani ambalo hulihimili[emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji100]Le mushenga unatakiwa usainiii
Ahaaaaaah le mushenga kuwaga siliasiiii bhanaaaahNo!!! Kakae utulie baada ya wiki kama maamuzi yako yatakuwa haya nitasaini.....huko ulipo inawezekana umetumia jani ambalo hulihimili[emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji100]
Af sijaskiza upande wa pili, wapi Shunie????Ahaaaaaah le mushenga kuwaga siliasiiii bhanaaaah
Alafu nilikwambia posa peleka nusu ubishi wako ona sasa ...ata mwaka bado ndoa ashaomba talaka ....
Wiki ishaisha mlinzi atakupitishiaa usainii[emoji4] [emoji4] [emoji4]
Ana haki ya kusikilizwa.Le mushengeliii usimsikilizee atakuongopeaa
KaribuSamahanini wakuu kutokana na kubanwa kwa shughuli za kusambaza misuli ya pimbi..
Imenibidi nibadirishe muda wa kuweka je wajua...
Nitakua naweka Usiku...
Tuko p1.
Ila katika maelezoo aweke ya yeye kuomba talakaAna haki ya kusikilizwa.
Au na wewe una yale ya ladies kwanza ,,...*Unajua yule mwanaume aliyeanzisha msemo huu wa"LADIES FIRST"hana lolote*Ana haki ya kusikilizwa.
mm bado nampenda mushenga usisaini plsAna haki ya kusikilizwa.
Af sijaskiza upande wa pili, wapi Shunie????
No!!! Kakae utulie baada ya wiki kama maamuzi yako yatakuwa haya nitasaini.....huko ulipo inawezekana umetumia jani ambalo hulihimili[emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji100]
sasa hivi sikutanii chochote tuanze upya baby wanguMatani yako yanakuponza ila bado
baby jamaan si umesema yameisha mbona unakua hiviLe mushengeliii usimsikilizee atakuongopeaa
Le mushenga unatakiwa usainiii
hahahhah nitakubeba ndioUtanibebaaa??
pamejaa majoka kwenye kutafuta wake kule kuna alileta ushuhuda mtu kageuka joka kwenye gariWeee si unasema pamejaaa majoka ??
mm talaka sitakiIla katika maelezoo aweke ya yeye kuomba talaka
hahahha sijui umewaza nnAu na wewe una yale ya ladies kwanza ,,...*Unajua yule mwanaume aliyeanzisha msemo huu wa"LADIES FIRST"hana lolote*
*Alitaka tu mwanamke atangulie amwangalie Makalio*
[emoji15] [emoji15] [emoji15] atasaini mlinzi badala yakemm bado nampenda mushenga usisaini pls
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]sasa hivi sikutanii chochote tuanze upya baby wangu
Saa ngapi nimesema ??baby jamaan si umesema yameisha mbona unakua hivi
Utaniwezaa ??hahahhah nitakubeba ndio
Mmmmmh alafu nilikuwa sijaelewaa[emoji15] [emoji15] [emoji15]pamejaa majoka kwenye kutafuta wake kule kuna alileta ushuhuda mtu kageuka joka kwenye gari