Habari wana JF
Habari Makapuku wenzangu
Matumaini yangu wote mko poa kabisa.
Uzi huu ni kwaajili ya makapuku wote. Lengo ni kujadili changamoto zinazotukabili, pia Kupeana support katika mambo yetu hapa JF. Tupeane mbinu za kukabiliana na mambo yote humu.
Makapuku natumaini nyote tutashirikiana katika jambo hapa JF. Bila kumsahau founder wa makapuku
Bitoz shukrani kwake
Karibu sana makapuku katika mjadala. Wengine nitawaongeza hapo baadae.
Karibu sana
Bitoz
JF Makapuku Founder
Jimena
JF Makapuku assistant Founder
Th Name JF Makapuku assistant Founder