AiseeeeeMpendwa clkey ray vany ni kapuku mwenzetu tumekua nae ni kijana mstaarabu kabisa sio kama transcend
Kiukweli anakupenda sana tena sana fungua moyo wako tunapenda uendelee kuwa shem wetu na hutojutaa
Kweli mm kwanza sipend na siwez kutongoza msichanaYaaaan ata wa kusingiziwa hauna
Clkey sikia kilio cha kapuku
Natamani kabisa muyajenge sio kama hilo lijamaa linalopendapendaAiseeeee
Umeagizwa au
Pia ni kijana anaye jua kujali hutokaa chozi likudondoke ukiwa na huyu mdogo wetu.Mpendwa clkey ray vany ni kapuku mwenzetu tumekua nae ni kijana mstaarabu kabisa sio kama transcend
Kiukweli anakupenda sana tena sana fungua moyo wako tunapenda uendelee kuwa shem wetu na hutojutaa
Moyo wako umemdondokeaa yeyeKweli mm kwanza sipend na siwez kutongoza msichana
Sambaza love kwa ClkeyExactly tumeumbwa tuwahudumie
Tafuta huo wimbo utaelewaUtaeleza vizuri why urudi peke yako?
Yaaan atamsaulisha yote aliyotendewa na transcendPia ni kijana anaye jua kujali hutokaa chozi likudondoke ukiwa na huyu mdogo wetu.
Tafadhali sana Clkey muelewe mdogo wetu
Nasubiri aniruhusu mkuu nisiende kichwa kichwaNatamani kabisa muyajenge sio kama hilo lijamaa linalopendapenda
Plz ray vany boy mpm
Kabisa mm najua ku hando hatajuta kua nammPia ni kijana anaye jua kujali hutokaa chozi likudondoke ukiwa na huyu mdogo wetu.
Tafadhali sana Clkey muelewe mdogo wetu
Hahaaaaa nilikua sijaona huo mchapio aiseee mbona upo 4GUmeona na kuchapia anachapia yote kwa ajili yako Clkey
Nawauliza mmeagizwa nyie shemej zangu?Pia ni kijana anaye jua kujali hutokaa chozi likudondoke ukiwa na huyu mdogo wetu.
Tafadhali sana Clkey muelewe mdogo wetu
Hapana tunatamani huwe shemeji yetu kwa the boy rayNawauliza mmeagizwa nyie shemej zangu?
Usicheke nimechapia ajili yko kuonesha how nakufeel
Mpaka aruhusu kwanzaOmbi lako limefika kwake mfuate PM sasa
Kweli tunasimama kideteOmbi lako limefika kwake mfuate PM sasa
Hatujaagizwa tunafanya kwa upendo mmoja mdogo wetu anateseka sana juu yakoNawauliza mmeagizwa nyie shemej zangu?