Kapyungu A
JF-Expert Member
- Jul 8, 2015
- 3,499
- 3,165
Mkuu kumbe ww ni engineerIko poa kabisa
kweli undugu umekuwa mhumu sana, sijapata hata mwaliko mmoja wa kirisimasi
Kasoro mm peke yangu sijala kiporomkuu Christmas njaa kali. Maana karibia kila familia jana iliamkia kiporo pengine ukiwamo wewe unaesoma coment hii. Hii ni Christmas pekee walevi hawajaoga bia
Duuh aiseemkuu Christmas njaa kali. Maana karibia kila familia jana iliamkia kiporo pengine ukiwamo wewe unaesoma coment hii. Hii ni Christmas pekee walevi hawajaoga bia
Siwezi kulialika jitu linalofuga midevu km ng'ombekweli undugu umekuwa mhumu sana, sijapata hata mwaliko mmoja wa kirisimasi
Iv ng'ombe wana ndevuSiwezi kulialika jitu linalofuga midevu km ng'ombe
.......
Alafu kiporo chenyewe ni cha makandeKasoro mm peke yangu sijala kiporo
Check PmDuuh aisee
Umekula block za maanaWatu tunataka [UhuruWaKujieleza]wakati wengine hatuko tayari kukosolewa!. Tukitaka kubadilika ni lazima tuanze kwenye mawazo na fikra zetu kwanza kisha ndio tuhamasishe na watu wengine kubadilika!
Umepoteleaga wapi mkuuNimewamissssss
karib mwaka mpya kamandakweli undugu umekuwa mhumu sana, sijapata hata mwaliko mmoja wa kirisimasi
Baba historia embu 2ngoje na mwaka mpya mambo yakiwa murua utakaribishwa ila ukija ubebe angalau xoda moja ya kuchambia koo au maji maana pande hz maji ni tabukweli undugu umekuwa mhumu sana, sijapata hata mwaliko mmoja wa kirisimasi
Mkuu mie hata wali kambale ningepiga tuSiwezi kulialika jitu linalofuga midevu km ng'ombe
.......
Asante na wewe pia ndugu ...Muwe na usiku mwema wakuu
MUHIMU:
**usilale bila kumshukuru MUNGU.
**Usisahau kushusha Chandarua.
Post hii ni kwa hisani ya faru khadija
Muwe na usiku mwema wakuu
MUHIMU:
**usilale bila kumshukuru MUNGU.
**Usisahau kushusha Chandarua.
Post hii ni kwa hisani ya faru khadija
na mimi nilihisi ni uyo sbbu kuna kipindi alikua anatumia avatar yangu ananikeraga hajui tu ata ukimwambia usifanye hivyo haelewi