Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,230
- 68,262
Asante sana kwa magazeti ya leo Ankali JJView attachment 426938View attachment 426939View attachment 426940
Kwa udhamini mnono toka kwa Dar es salaam Young African sina la zaidi kutoka katika magazeti.
Naitwa Jimena Jimenes nawatakia wiki njema yenye mafanikio tele
Ciao
Ngumu kumesaHaya.....na wewe pia...
Morning briz, wapangwa wazima hukoGmorning Makapuku!
Hii nayo kali1973 - Wafungwa watatu watoroka gereza la Mountjoy Prison kwa kutumia Helikopta huko nchini Ireland.
Moja kati ya mikasa ya kusisimua iliyotokea miaka ya 70.
Sukumia na KROBANgumu kumesa
2002 - Timu ya As Adema yashinda mabao 142-0 dhidi ya So Emyrne katika mechi ya ligi huko Madagascar.
Katika mechi hiyo, timu ya So Emyrne ilijifunga magoli yote kwa kumkataa refa.
Jiniazzao la brn hili
Du2002 - Timu ya As Adema yashinda mabao 142-0 dhidi ya So Emyrne katika mechi ya ligi huko Madagascar.
Katika mechi hiyo, timu ya So Emyrne ilijifunga magoli yote kwa kumkataa refa.
KAPUKU'S WEEKEND TOP VIBES : MODERN RNB & HIPHOP
1. Breathless- Shayne Ward
2. Mirror- Lil Wayne ft Lil Wayne
3. All of me- John Legend
4. Mirrors- Justin Timberlake
5. Get back up- T.I ft Chris Brown
6. Stay with me- Sam Smith
7. Thinking out loud- Ed Sheeran
8. Set fire to the rain- Adelle
9. Diamonds- Rihanna
10. Next to me- Emeli Sande
11. I lose myself tonight- One Republic
12. Stereo Hearts- Gym Class Heroes ft Adam Levine
13. Am i wrong- Nico and Vinz
14. Moments for life- Nicki Minaj ft Drake
15. Just died in your arms tonight- Jay Z
CC: briz , Bitoz , Jimena , shululu , QUIGLEY , jonax , Sweetiepie
Captain Dunga1963 - Dunga anazaliwa.
Mchezaji na kocha wa zamani wa Brazil.
Labda waJiniaz