Kwa udhamini mnono toka kwa Dar es salaam Young African sina la zaidi kutoka katika magazeti.
Naitwa Jimena Jimenes nawatakia wiki njema yenye mafanikio tele
Ciao
Salama kabisa, mkuu jana nilikua hoi nimeskiza moja tu kwenye list yako 'set fire to the rain' ikawa imenibembeleza vya kutosha na usingizi ukanichukua hapo hapo