makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 36,022
- 104,628
Huyo ni mama mkwe
Bitoz uwe unachanganya na kinyaki labda wataelewa
Subir!! Anakukana sasa hiv.. Huyo ndio Quigley bhana, almaarufu kiboro zipu..Funguka kabisa tu mimi ni nani akuelewe....mbona mafumbo hivyo...
Makaveli is always there for you... Kasoro tu, jig jig.. Ntakuwa hapo kukusuport kwa kila hali.Si unajua bado nna vistress vya my Makaveli
Wewe wacha kujiongopea..Makaveli mwenyewe hajatia hata mguu leo, maumivu yamemzidi
Hii ni kata paja sio kata "k"
Sahau mpendwa... Am a gentleman, simez maneno yangu mpendwa, lets live happily, sahau yaliyopita, ishi maisha yako nami naishi yangu.Namrudisha taratibu ikishindikana ku reconcile basi!
Yatakukuta kama ya side mnyamwezi, kijana we endekeza ukiboro dinda wako tu.. Watu wataku.... Kama yule baunsa wa dully Sykes.Halafu shushushu ni dume, nimeadhirika
Naona wewe ndio umekuwa bakwata au sio.. Ndio nimempa talaka, talaka si mpaka mikaratas maneno tu ni talaka tosha.. Karatas ni ushahid kwq wazaziHaijavunjika, talaka umepewa?
Yatakukuta kama ya side mnyamwezi, kijana we endekeza ukiboro dinda wako tu.. Watu wataku.... Kama yule baunsa wa dully Sykes.
Mungu atamlipia...Fundi aliyemsuka huyu dada Mungu anamuona aiseee
Subir!! Anakukana sasa hiv.. Huyo ndio Quigley bhana, almaarufu kiboro zipu..
Kweli ameenda mbali
Mkuu umeenda bali
Hapa twacheka tu nothing siraz
Isitoshe huyu namfaham ck nyingi
Hivyo nilikuwa nampiga dongo kwa avatar aloweka
Mambo vp lkn
Mkuu huu ni muendelezo wa kile kinachoendelea ndan ya mjengo wa kf..
Mkuu umeenda bali
Hapa twacheka tu nothing siraz
Isitoshe huyu namfaham ck nyingi
Hivyo nilikuwa nampiga dongo kwa avatar aloweka
Mambo vp lkn
Huyu makavel alimfia swt p kiukweli ndio maana ukimgusa tu unaloKweli ameenda mbali