Makapuku Forum

Jibu analo Ngedere wako
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
.... . ... ..
Una matatizo wewe, mwenzako yupo tangu kitambo enzi hizo wanalipa 30, 000 kila mwezi kulipia domain, wewe umekuja umekuta JF imesimama yenyewe unataka kujifananisha naye, jifunze kuappreciate wenzako
 
Huyu mimi simuwezi, sio kwa matamio haya ya mapema hivi...[emoji53][emoji53][emoji30][emoji30][emoji33]
Aiyaa.. Nishaharibu.. Just thnkng

No, sio mimi, niliongea kwa nafsi ya bitozi, tozi ndio mtu wa hayo mambo, huon hata jina lake tozi linaendana na totozi.. Nilikiwa namtania tu..

[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…