Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,230
- 68,262
Hapa keane hapa viera, hatar sana hilo dimbaLeo katika Historia:
1971 - Roy Keane anazaliwa.
Mchezaji na Nahodha wa zamani wa Man Utd.
Leo katika Historia:
1971 - Roy Keane anazaliwa.
Mchezaji na Nahodha wa zamani wa Man Utd.
Mkongwe zanetti.. HbdLeo katika Historia:
1973 - Javier Zanetti anazaliwa.
Ni mchezaji wa zamani wa Inter Milan na Timu ya Taifa ya Argentina.
Leo katika Historia:
1973 - Javier Zanetti anazaliwa.
Ni mchezaji wa zamani wa Inter Milan na Timu ya Taifa ya Argentina.
Leo katika Historia:
1973 - Lisa Raymond anazaliwa.
Ni mcheza Tennis toka nchini Marekani.
Asante sana JJView attachment 378847View attachment 378848
Na mpaka hapo basi sina la ziada. Kumbuka ni kwa udhamini mkubwa kabisa wa Pogba..... GGMU
Mpaka wakati mwingine tutakapokutana tena niite Jimena Jimenes
Bye bye
Leo katika Historia:
1975 - Ilhan Mansiz anazaliwa.
Ni mchezaji wa mpira wa miguu toka nchini Uturuki.
Ilikuwa battle ya kiutu uzima.Hapa keane hapa viera, hatar sana hilo dimba
KaribuAsante sana JJ
Nilipenda nidhamu yake.Mkongwe zanetti.. Hbd
Ndan ya san siro arsenal 5 inter 1, thierry henry kichogo alikimbiza sana huyu muheshimiwa
alikuwa na Nidhamu ya hali ya juu sana.View attachment 378863View attachment 378864View attachment 378866
Mmoja wa mabeki bora duniani
.......
thanx!!Karibu
Dah.. Sidhan kama kutakuja kuwepo na battle kama ile.. Viungo wenyewe hawa laini laini..Ilikuwa battle ya kiutu uzima.
I miss the old days!!
Leo katika Historia:
Ni siku ya Jeshi la Argentina.
Happy Birthday ChampionLeo katika Historia:
1971 - Roy Keane anazaliwa.
Mchezaji na Nahodha wa zamani wa Man Utd.