Inaweza kua kweli asee,,.. especially hapa makapuku forum hakuna ratio kabisa, wanafaidi wachache tu akina Th Name, youngblood , sumbai, jonax, emmyguy , ibra87 si wengine tunakula kwa macho tu bob... Hata rais mwenyewe(Bitoz) nahisi kaambulia patupu