Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,330
- 68,399
Leo katika Historia:
1978 - Visiwa vya Solomon vyapata Uhuru wake.
Leo katika Historia:
2005 - Milipuko minne katika njia za usafiri jijini London yalipuka na kuua watu 56 huku ikijeruhi watu zaidi ya 700
Leo katika Historia:
1917 - Fidel Sanchez Hernandez aliyekuwa Rais wa El Salvador azaliwa.
Happy Birthday CassidyLeo katika Historia:
1982 - Mwanamuziki Cassidy toka Marekani anazaliwa.
Leo katika Historia:
1974 - Rapa E.D.I Mean toka kundi la Outlawz nchini Marekani anazaliwa.
Leo katika Historia:
1982 - Mwanamuziki Cassidy toka Marekani anazaliwa.
1978 - Cris Andersen mcheza Basketball toka nchini Marekani anazaliwa.
Leo katika Historia.
1984 - Alberto Aquilani mcheza mpira toka Italy anazaliwa.
2014 - Alfredo Di Stefano mwanasoka mahiri toka Argentina na Spain anafariki Dunia.
Leo katika Historia:
Ni siku ya Maonyesho ya biashara ya Sabasaba nchini Tanzania.
AppreciatedMpaka hapo sina cha ziada, tukutane kesho tena kwa Udhamini mnono wa Sabasaba.