Makapuku Forum

Asante kwa magazeti siku ya leo
Ila sasa ubuni chako
Hapa kila mtu ana category yake
Bitoz updates za mpira, Jambilo ni Je wajua,
Jimena ni magazeti, Mussolin5 ni leo katika historia
shululu anatuletea nukuu ya leo na Szczesny ye hutuletea 10 bora na waliosalia bado wanaumiza vichwa watoke vipi...
Hivyo na wewe buni kitu chako ambacho utakuwa unakipost sio kuiga kati ya hivyo vilivyo tayari, asante sana
Peace
 
nashukuru,kwa taarifa niwe radhi kwa hili.Ningeomba basi hii pia iwekwe maalum ili ieleweke kwakila mana jamvi kuavoid ikanganyiko kama hii.AHSANTE
 
Kesho naamka SAA 10 alfajiri natupia magazeti
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
..........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…