Pamoja tutafika mbali cha msingi kushikamana na kuchukuliana kwa tofauti ndogo, huu ndo uzi unaoongoza kwa posts, tusibweteke na tukune vichwa kuupa mvutoAsante, nawe pia hongera kwa Kuja na kitu kipya
HaswaaPamoja tutafika mbali cha msingi kushikamana na kuchukuliana kwa tofauti ndogo, huu ndo uzi unaoongoza kwa posts, tusibweteke na tukune vichwa kuupa mvuto
Usikute hapo ndo kazi imefanyika kiaina, si waona jamaa katulia tuli!Haya mambo ya kitengo cha muhimbili
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Usikute hapo ndo kazi imefanyika kiaina, si waona jamaa katulia tuli!
Lione sura baya km NessiKitumbua kimeshaingia mchanga ngoja nilale[emoji45] [emoji45]
Mbona unakata tamaa mapema hivyoKitumbua kimeshaingia mchanga ngoja nilale[emoji45] [emoji45]
Pole, futa mchanga bugiaKitumbua kimeshaingia mchanga ngoja nilale[emoji45] [emoji45]
Kasome maelekezo post # 3Hii inatakiwaa naa mm inihusuu