Wana timu ya kawaida sana, na sasa wanajaribu kutuaminisha Rooney ni kiungo kama walivyotuaminisha kipindi fulani kuwa combination ya Gerrard na Lampard ktk timu ya taifa ina impact.