😁Nakusalimu sana Makiwendo popote utapomuona Atoto mwambie amfikishie Shunie salamu zangu nampenda sana.
Uhali gani moudgulf nimatumaini yangu umzima wa afya hofu ni kwa Mideko maana sikuiz yupo busy sana kama Lee
Mshua master Tresor Mandala vp weekend inasemaje au imepooza kama uji wa Carasco Putin
Siku zote mshamba_hachekwi sasa sielewi kwanini Depal na udugu wake cocastic wanamcheka mtumishi Saint Anne
Mzee mwenzangu Grahams msalimie sana Lovelovie mwambie niko mwanza hapa pspf nimetoka kupokea kiinua mgongo changu.
Boss wangu Mjep nakusabahi popote ulipo nashkuru kwa offer ya full tank ya mafuta.
Papa mobimba raraa reree ukifa hauozi mkuu. Wasalimie wale wana wote wa misifa camp Kelsea
Amenena vema ingawa siungani naye[emoji187] “Takwimu zinatuonyesha Kevin De Bruyne ni bora kuliko Zinedine Zidane. Macho yetu yanatuambia Zidane ni bora kwa mbali kuliko staa huyu wa Manchester City na timu ya taifa ya Ubelgiji. Takwimu zinatuonyesha Cristiano Ronaldo ni bora kuliko Diego Maradona na Ronaldo De Lima. Hali halisi inatuambia hao wawili ni bora kuliko Ronaldo. Hapa ndipo linapoibuka suala la Kibu.
.
Hana mabao mengi lakini kuna kitu ambacho Simba wanakiona kwa Kibu kuliko kwa wachezaji wengine. Ukiwaambia Simba nani aondoke kati ya Kibu au Freddy Michael watakwambia Freddy aondoke ingawa ni huyu huyu amefunga mabao mengi kuliko Kibu. Soka la namba linatuchanganya katika dunia ya kisasa. Unajaribu kushindana na hali halisi. Hapa ndipo Kibu anapohitaji pesa nyingi katika mkataba wake. Hapo ndipo Kibu anadengua.” — Edo Kumwembe.View attachment 2982548
Km kweli ibenge anaenda simba ,ni jambo zuri sana..ingawa.......
Honey love umentenga sana
Nisamee sana darling, kuanzia Leo nabadilika.Honey love umentenga sana
Siunajua sisi wazee huwa hatuna mambo mengi sana kama vijana.Nisamee sana darling, kuanzia Leo nabadilika.
Siunajua sisi wazee huwa hatuna mambo mengi sana kama vijana.
😂 Haya tag location hapo Mwanza nije nikupe offer ya lunch nipo hapa lahe hotelNaelewa wazee ni minyoosho tu.