Ndio uotee kwenye wallet yangu? Kenge we
Hiyo ni mishahara yangu 6
Hivi si disposable zipo? Siipendi hiyo kazi na kufua.Kazi ya kuosha vyombo siipenditoka nipo mdogo mpaka sasa na uzee wangu jamani sipendi kuosha vyombo mimi
Unitue 🙆🙆🙆Hiyohiyo auntie tugawane umasikini bwanah
Hivi si disposable zipo? Siipendi hiyo kazi na kufua.
Kweli bwana ujue nakutegemea tar 27 nitakutumia lipa no au nikutumie kabisa uisaveUnitue
Au tusipike tu 🤣🤣🤣khaaa disposable tena auntie acha tuendelee kuosha vyombo huku tumenuna jamani sipendi kuosha vyombo tena maji yawe yamekatika bombani nguvu zote zinaisha
Aah we ninavyopenda kupika nikiwa nyumbani nile chakula ninachokitaka ila vyombo sipendi jamaniiii nilijua nikiwa mkubwa nitabadilika tabia ipo mpaka uzeeniAu tusipike tu
Mie kadri ninavyozeeka ndio nagundua hamna kazi ninapenda🤣Aah we ninavyopenda kupika nikiwa nyumbani nile chakula ninachokitaka ila vyombo sipendi jamaniiii nilijua nikiwa mkubwa nitabadilika tabia ipo mpaka uzeeni
🤣🤣🤣🤣🤣
Mie kadri ninavyozeeka ndio nagundua hamna kazi ninapenda
Aaah msinisahau kwenye ufalme wenu.