Weeeh!! Acha kufananisha kichwa changu na cha huyo shindikana.Mmekutana wote wawili
Kweli mimi jambazi ?Sitakii poker baki naye wewe bora huyu jambazi niliyemzoea kuliko kiumbe kipya
Weeeh!! Acha kufananisha kichwa changu na cha huyo shindikana.
Au shuny anipe ruksa ya wewe kudate masaa 4 tuone kama tutawezanaWeeeh!! Acha kufananisha kichwa changu na cha huyo shindikana.
Kwelii umenichokaa ...nishakuwa pwagu mimi au pwaguziPwagu na pwaguzi ila me nawapenda hivyohivyo
Au shuny anipe ruksa ya wewe kudate masaa 4 tuone kama tutawezana
Wakiachana atarudi tu hapa mwisho wa reli
Hivi haya mambo ya kupeana wapenzi bado yapo nauli akupe poker si ndio unayempenda
Mnitumie nauli🤣Ukirudi dar naweka mpya
Hivi haya mambo ya kupeana wapenzi bado yapo nauli akupe poker si ndio unayempenda
Wakiachana atarudi tu hapa mwisho wa reli