Kiungo wa Aston Villa, Philipe Coutinho ameonyesha kiwango bora sana toka arudi katika Ligi Kuu ya Englan baada ya kutokuwa na msimu mzuru Barcelona.
Katika michezo nane aliyocheza toka ajiunge na Villa amefunga mabao 4 na kutoa Assist 3.
View attachment 2146624