Niko poa kabisaSalama kabisa sijui kwa upande wenu?
Mimi mpiganaji lazima kieleweke labda nikose pumzi/afya tuHahaha tujifariji tu hakuna namna.
Ni kweli kabisaMafanikio yetu hayalingani
Mfn Mimi kumiliki tu hence ni mafanikio wkt Bakhresa yy kumiliki ndege ndo mafanikio
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
.........
Safi kabisa, miss you kakaWakuu wa kazi pande hizi....Mambo niaje?
Lol
Fake Pastor
Mnasali kwa masauti mnatapeli kimyakimya
Cc Jambilo
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
..........
Nimeipendea bure
Lol
Aibu sana hiyo[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115]
Oya mbona unazingua?Niko poa kabisa
Iko sawa sanaaNimeipendea bure
.............
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji121]Manake sio kwa kubadilisha huko avatar
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Fake Pastor kaingia mitini Na mkwanja wa MTU
.........
Sema mkuumambo yake super