Kama hukumjua kipindi hicho, ndiyo basi tena maana namkaba Kila Kona hapumui...Toa mannyunyu ya Dar nimuone huyo mrembo baasi!!![emoji38]mi thimjui!!!kaka smart!
Picha ya leo leo...Weeh!ngoja tu hizo picha za zamanii!sasa hivi ni bonge Mimi!
Natural colour you have...Ndiwoooo kaipaka rangi nyeupe [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahahhah hivi kudanganya hata kidogo huwezi kabisaNatural colour you have...
Unawaka hata gizani...
Cheusi mwilini kwako ni mboni za macho na nywele tu...
Dah!! Ndiyo maana nikasema ngoja nikae kimya...Hahahhah hivi kudanganya hata kidogo huwezi kabisa
HahahhahaDah!! Ndiyo maana nikasema ngoja nikae kimya...
[emoji28][emoji28]
Heri ya siku ya kuzaliwa dear1Karibuni cake ya shunie [emoji847]View attachment 2059532
Hapo sahihiii!!!Natural colour you have...
Unawaka hata gizani...
Cheusi mwilini kwako ni mboni za macho na nywele tu...
Dada wansalitiiiHahahhaha
Kaa kimya hivyohivyo
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji1]looohhPicha ya leo leo...
Hahaa!!!usimkabe sana atakufwaaa n vikaboooo!!!!!Kama hukumjua kipindi hicho, ndiyo basi tena maana namkaba Kila Kona hapumui...
Hawezi post hata kucha...
Ndo Mimi apa[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Eeenh love wa jua kali tena
Hakuona kuonwa onwa au kuonekana now days...Hahaa!!!usimkabe sana atakufwaaa n vikaboooo!!!!!
Aisee ule umri wa majukumu umenifikia..Mambo Ni mengiii..nimefurahi kukuona tenaNiko poa mkuu.Mdada wa watu ulipotea sana![emoji7][emoji7][emoji7]
Shukrani Tetra [emoji120][emoji120]Heri ya siku ya kuzaliwa dear1
Hahhahha na nini tena jamaniDada wansalitiii
Naanzajee kukufwa mimi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahaa!!!usimkabe sana atakufwaaa n vikaboooo!!!!!
[emoji23][emoji23][emoji23]Ndo Mimi apa