Mimi ndio maana maisha yangu yana amani sana sitaki kufatilia maisha ya mtu mwingine anafanya nini atajua mwenyewe na maisha yake
Sasa wewe unafatiliaje maisha yangu yako sitaki hata kujua unavyoishi
Mimi nafatilia maisha ya babe wangu tu
ndio anayenihusu
Muwe na usiku mwema damu ya Yesu iwalinde
View attachment 1687745