Kibonge cheusi bibiJe wajua inakujia na shunie shunie kibonge cheusi mangala [emoji847] mtoto mlito kiboko kabisa
Salama binamu, huku kwema, hope hapo nyumban ni kwema pia.. Asante sana binamu....salama binamu? Za masiku ndugu yangiu.Pamoja sana, uwe na wikend njema
Sijambo mtoto mlito... Za masiku? Ulikuwa umejificha kule kwenye Utajiri wa Damu eeh?Sijambo baba wawili za wewe apo
Hapana baba wawili nimekuwa adimu sana siku hizi kuingia jf jamaniSijambo mtoto mlito... Za masiku? Ulikuwa umejificha kule kwenye Utajiri wa Damu eeh?
EwaaaahKibonge cheusi bibi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ha ha ha hausahau Shunie?Hapana baba wawili nimekuwa adimu sana siku hizi kuingia jf jamani
Halafu kabla sijasahau pole kwa kipigo
Asanteeeeee sanaaaaaaa baba wawili simba baba laoHa ha ha hausahau Shunie?
Asante bwana, hongereni kwa ushindi pia