Makapuku Forum

Haya maisha hakuna kupeana stress kabisa maisha yanipe stress na mapenzi pia hapana jamani
 
We bebishana na mimi nabebishana kikubwa uhai na kila mtu ashinde mechi zake

Tukikutana sasa tuanze kusimuliana tulipotoka sawa eeenh
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…