Makapuku Forum

...sasa haapa ndo tunaposumbuana anko, inakuwaje sasa? Au utafanya kama ulivyofanya mwezi jana, ukaenda kulala kwa Hamida?

M..lakini anko, umekosa usafir au umejikosesha usafiri? maana wasiokuelewa wanaweza kudhani umekosa kweli usafiri
Mengine wewe ndo chanzo ...tulipanga nini na wewe ulifanya kitu gan?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…