Makapuku Forum

Ukimaliza kupika kazi yangu kupakua Ukimaliza kufua kazi yangu kukamua Ukitaka muwa, naumenya nakugea unakula Oooh, uchungu wangu unaujua wewe Uchungu wako naujuwaga mimi mwenyewe Pilika pilika za kuku na mwewe
 
Umeniweza nyang'anyang'a Nyang'anyang'a beiby ooh Sijateleza nyang'anyang'a Mi kwako nyang'anyang'a Umeniweza nyang'anyang'a Nyang'anyang'a beiby ooh Sijateleza nyang'anyang'a kwako nyang'anyang'a
Asee ,si mchezo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…