Safi baba wawili za weweNipo shunie, habar za kwako
Hivi namba za sepenga ushazipata....wewe hujaziona?! Siku hizi siko wa mwisho, naisubiri part 3, kama unayo fanya mambo nna kazi nayo , afu kama una namba zake nirushie
Hata wewe kaka angu?Sijaona bado,,fanya msaada tutani bhasi
[emoji23][emoji23]......nimeiona aunt, yaani kanichukiza sana, kiuno kizuri hajavaa hata shanga!!!??? Hivi huyu anafeli wapi !!!?
[emoji137][emoji137][emoji137][emoji137]Denvers is waving at you guys
[emoji2960][emoji2960][emoji2960] Kauli tata sana, wazee wa chumvini washamuelewa! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]Hivi kamaanisha deki ya vipi [emoji848]View attachment 1235713
Huu upepo wa kisulisuli uniletee mm mahela[emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1235711
Ndio ufanye kumtumia kaka akooHata wewe kaka angu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahah kumbe naye huwa anazama chumvini[emoji2960][emoji2960][emoji2960] Kauli tata sana, wazee wa chumvini washamuelewa! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
Heshima yako mtoto mlitoEndeleeni kutekana tu na hii hali ya hewa