Daah...
Ulilala wapi eti baba Naah
Pembeni yako hapo...nashangaa unasema unaona mto
Sio kweli jamanii
Mama Nah unataka nini lakin?
I am coming to take you somewhere...then you will tell me tukiwa hapo...
So hold it first..! Sawa?
Sawa baba Naa..
Kama kweli vile jamaniii
Hahaha! Umeanza sasa..
[emoji4][emoji4][emoji4]Basi yesheeeee!
Dada mimi nimefunga![emoji4][emoji4][emoji4]
HAKUNA MKATE MGUMU MBELE YA CHAI.
[emoji125][emoji125][emoji125]
@Sakayo amefunga lakini[emoji4][emoji4][emoji4]
HAKUNA MKATE MGUMU MBELE YA CHAI.
[emoji125][emoji125][emoji125]
@Sakayo amefunga lakini
Ni tamu mnoYa moto hii salam eti
Dada mimi nimefunga!
Ni tamu mno
KhaaaaHata mimi dada[emoji4]na hivi naanda ftari..
Khaaaa
Futari sa hizii
Wewe uko na mipango ya kulegeza swaumuNdio..ili nilale mpk mda ukifika[emoji85]
Wewe uko na mipango ya kulegeza swaumu
Sawa[emoji39][emoji39]
HapanaMarahaba Mndali uliamka vyema eenh
Hahaha hahaha hahaha[emoji23][emoji23][emoji23].
Naomba nilale bc ukianza kupika nishtue na mie nianze
Mama naah huyo atoka shambani na mkungu wa ndiziUlilala wapi eti baba Naah