Makapuku Forum

Salama dada,nakuona tabasamu kama lote na ndugu yako kibonge hapa[emoji2]
Hahahahhaha
Na mm ndio kiboko yake na mm ndio kiboko yangu

Yaan huyo ni msiri wangu siku zimfyatuke atoe siri zangu jf itasimama

Nampenda sakayo wangu mm [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8] Mungu wangu azidi kuniwekea tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…