Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,387
- 95,838
Aiseee
Au we mzee aliyekutumia picha yangy nakutumia picha fake ujue sikuelewi vitu unavyoniletea na mm tofauti sifananii navyo
Kwema mjomba??Mjombaaaaaa
Umeongezwa cheo wewe si bure
Njema za majukumu?
Ha ha haaa nahisi tu vile unapotea humu
Marhaba dada yangu,,wawili hawajambo?
Wazima kabisa cjui wenzaoMarhaba dada yangu,,wawili hawajambo?
Pole na majukumu
Sema kweliNimekumisiiii wewe mtu
Bwana Yesu asifiwe mama muinjiliHabari yako mbebez wa Daby
Heshima yko Dada make mtuBwana Yesu asifiwe mama muinjili
Heshima kwako pia dearHeshima yko Dada make mtu