Makapuku Forum

Mambo ni [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Ngoja aje wallah silazi damu safar hii,ila najua ndugu zangu hawachelew kuniharbia binamu yangu Obe na ankoli Lee lyon

...duh, binamu usiniambie umeoa tena? Kwa hiyo Madame S ndo umempa talaka kama ulivyokuwa unasema kwenye mkesha wa mwaka mpya kwamba 2019 ni mwaka wa mabadiliko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…