Makapuku Forum

Kwema jamani alham.
Huku kheri sijui weye na familia yako wakiwemo wajukuu wanaoitwa mapacha wa kudownload. ,?

Sent using Jamii Forums mobile app
Huku kwema ,,familia haijambo shangazi,,mapacha wapo poa kabsa hawana jipya tyl wamekula viaz na mahnd ya kuchoma,,,ni kuruka na kukanyagana tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Usimsikilize jiwe huyo[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji38][emoji38][emoji38]ss jiwe si ndio MASTER au??
Hakawii kutumbua ati,kwani mahindi tayari jamani??
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…