Halafu nimesindikiza kauli mbiu yao na video ila nashangaa wanamind!
Siku hizi unaitwa jiwe?Hahaha mm tena nimeanzaje kuzingua prince jamani nimekubeba haubebeki
Mkuu hebu fanya kama unajikuna hivi halafu nidokeze chanzo cha jukwaa hili kuwa roho yako ya pili ni nini![emoji6][emoji6][emoji6]Utaondokaa wewe kabla halijafungwaaa
Nafurahi ukicheka kama ni kwa kheri lakiniHahahhaha manga ebu niache kwanza unazidi kunichekesha tu
Tuna kupigeni ngapi leo hem bet nione ?Hahhaha
Mkuu hebu fanya kujikuna nidokeze chanzo cha jukwaa hili kuwa roho yako ya pili![emoji6][emoji6][emoji6]
Hahaha mm tena nimeanzaje kuzingua prince jamani nimekubeba haubebeki
Halafu mkuu kuna za chini chini nimezipata hapa kuwa unapambana kudownload ile video!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] niacheee ushazenguaa na jiwe ushamkasirishaa
Hahaha mm tena nimeanzaje kuzingua prince jamani nimekubeba haubebeki
Sio hivo mkuu kiustaarabu ungeifutaaa ..
Siku hizi unaitwa jiwe?
Mkuu hebu fanya kujikuna nidokeze chanzo cha jukwaa hili kuwa roho yako ya pili ni nini![emoji6][emoji6][emoji6]
Nafurahi ukicheka kama ni kwa kheri lakini
Huy ndo alimuogopa x wangu
Anajitoa ufahamu
Ebu ngoja kwanza nikamwangalie edo kumwembe amesemajeTuna kupigeni ngapi leo hem bet nione ?
Huy ndo alimuogopa x wangu
Ipo sababu unaijua japo siijui ila nakazia hilo jinaMm mwenyewe sijui manga ndio wanavyoniita eti