Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,386
- 95,833
Mkuu,,hapa ni kwa ajiri ya kufurahi tu,,wala hakuna kitu kingine,,,samahan kama nmekuudhi
Hahahahaha kama nakuonaaaHiko yaani nitakipiga mie
Ajifunzee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]shangazi hana kipaji cha kutunza kben 10, muombe msamaha
Hi 5[emoji109][emoji123]She is stronger more than you think mkuu...
Ndooo maana nakupendaShaka ondoa nipo fresh zaidi ya jana [emoji123][emoji123]
Na maumivu yakizidi ntaenda hospital [emoji23][emoji23]Kwa hiyo avumilie tu eeeeehhhh?
HaweziMchukue bas
HahahahaLazima mjipe moyo hamna la kufanya
[emoji134][emoji134][emoji134]wivu haujengi kama vipi ahame kijiwe aende kule MMU huku atuachie makapuku
mi sijambo
Oyeeeemakapuku
Mm wanananitania tu naitwa shunie au shangazi jamani sio huyoHahahaha
Hapana mie Niko okay ,ila mnamchokoza huyo ..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahahaha kama nakuonaaa
weweeHahahaha
Boban nimecheza nae Ndondo msasani enzi hizo yuko Makongo
Mie sina timu Tanzania
[emoji23][emoji23]kata mti panda mti ndio kauli mbiu ya ShangaziPrince nimekupa mary ni wa kwako peke yako umpendeeee tu yaani umpende yeye tuuuuuu halafu usisahau kumpa mahela
Shaka ondoa nipo fresh zaidi ya jana [emoji123][emoji123]
Hi 5[emoji109][emoji123]
HahahahNa maumivu yakizidi ntaenda hospital [emoji23][emoji23]
Wazima mjomba habari yakoHamjambo humu ,ndio nashika simu sasa
Najua basi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unataka kunigombansha na aunt wangu ww