EMMYGUY JF-Expert Member Joined Aug 6, 2015 Posts 11,115 Reaction score 25,414 May 12, 2016 #33,941 lizziebettie said: Ni shida Click to expand...
Youngblood JF-Expert Member Joined Aug 1, 2014 Posts 19,504 Reaction score 57,049 May 12, 2016 #33,942 Mussolin5 said: Haya bhana sisi tunawakilisha hapa, mpaka akina wakongwe wananuna... Click to expand... Ikibidi wabugie na sumu ya mende.
Mussolin5 said: Haya bhana sisi tunawakilisha hapa, mpaka akina wakongwe wananuna... Click to expand... Ikibidi wabugie na sumu ya mende.
EMMYGUY JF-Expert Member Joined Aug 6, 2015 Posts 11,115 Reaction score 25,414 May 12, 2016 #33,943 youngblood said: Njoo Tanga brother. Click to expand... Nimeipenda sana hiyo sukari guru.
Youngblood JF-Expert Member Joined Aug 1, 2014 Posts 19,504 Reaction score 57,049 May 12, 2016 #33,944 amaizing said: Humu ndani kwema??? Click to expand... Kwema Habari yako shemeji.
eden kimario JF-Expert Member Joined Jun 13, 2015 Posts 10,356 Reaction score 16,400 May 12, 2016 #33,945 Horseshoe Arch said: Sori hivi wewe na Hazard si ni ndugu? Ama yeye ni mtoto wa mjomba wako? Maana hata hand writing mnafanana! Click to expand... Hahahaaa mi ni shabiki wake wakati wengine mastaa wao ni messi na c. Ronaldo star wangu ni huyu mkuu pia mi ni shabiki wa timu snayochezea na timu yangu ingine ni atletico madrid
Horseshoe Arch said: Sori hivi wewe na Hazard si ni ndugu? Ama yeye ni mtoto wa mjomba wako? Maana hata hand writing mnafanana! Click to expand... Hahahaaa mi ni shabiki wake wakati wengine mastaa wao ni messi na c. Ronaldo star wangu ni huyu mkuu pia mi ni shabiki wa timu snayochezea na timu yangu ingine ni atletico madrid
EMMYGUY JF-Expert Member Joined Aug 6, 2015 Posts 11,115 Reaction score 25,414 May 12, 2016 #33,946 youngblood said: Ila nini? Click to expand... Kutongoza mke wa mtu ni dhambi.
Youngblood JF-Expert Member Joined Aug 1, 2014 Posts 19,504 Reaction score 57,049 May 12, 2016 #33,947 EMMYGUY said: Kutongoza mke wa mtu ni dhambi. Click to expand... Mke wa mtu hana gharama kaka.
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,230 Reaction score 68,262 May 12, 2016 #33,948 34k is around the corner
EMMYGUY JF-Expert Member Joined Aug 6, 2015 Posts 11,115 Reaction score 25,414 May 12, 2016 #33,949 Mussolin5 said: Mkuu hawa wanapatikana wapi? Click to expand... Kwenye milima ya Uluguru.
Youngblood JF-Expert Member Joined Aug 1, 2014 Posts 19,504 Reaction score 57,049 May 12, 2016 #33,950 Mussolin5 said: 34k is around the corner Click to expand... Ya kwangu hiyo naomba mkae pembeni
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,230 Reaction score 68,262 May 12, 2016 #33,951 amaizing said: Humu ndani kwema??? Click to expand... kwema, karibu
EMMYGUY JF-Expert Member Joined Aug 6, 2015 Posts 11,115 Reaction score 25,414 May 12, 2016 #33,952 youngblood said: Mke wa mtu hana gharama kaka. Click to expand... Usipende vya dezo wewe.
amaizing JF-Expert Member Joined May 3, 2013 Posts 3,616 Reaction score 12,398 May 12, 2016 #33,953 youngblood said: Kwema Habari yako shemeji. Click to expand... Nzuri shem. Mzima wewe??
Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,823 Reaction score 126,632 May 12, 2016 #33,954 aggyjay said: Basi ngoja nifikirie kwanza hlf takujibu Click to expand... I believe utanikubalia Nasubiria .........
aggyjay said: Basi ngoja nifikirie kwanza hlf takujibu Click to expand... I believe utanikubalia Nasubiria .........
EMMYGUY JF-Expert Member Joined Aug 6, 2015 Posts 11,115 Reaction score 25,414 May 12, 2016 #33,955 youngblood said: Ya kwangu hiyo naomba mkae pembeni Click to expand... Mmmhh!!
Youngblood JF-Expert Member Joined Aug 1, 2014 Posts 19,504 Reaction score 57,049 May 12, 2016 #33,956 amaizing said: Nzuri shem. Mzima wewe?? Click to expand... Niko poa shem. Pole na mihangaiko.
Bailly5 JF-Expert Member Joined Mar 11, 2015 Posts 16,495 Reaction score 35,288 May 12, 2016 #33,957 lizziebettie said: Yes honey! Maana nimechoka kukaa Click to expand... Tufanye hivyo baby
lizziebettie JF-Expert Member Joined Aug 3, 2014 Posts 2,873 Reaction score 11,966 May 12, 2016 #33,958 Th Name said: Tufanye hivyo baby Click to expand... Sawa babe!
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,230 Reaction score 68,262 May 12, 2016 #33,959 youngblood said: Karibu sana Click to expand... Nikija ntakushtua tuzurure barabara zote kwanzia ya kwanza mpaka ile ya mwisho
youngblood said: Karibu sana Click to expand... Nikija ntakushtua tuzurure barabara zote kwanzia ya kwanza mpaka ile ya mwisho
FENtastic JF-Expert Member Joined Aug 4, 2015 Posts 6,780 Reaction score 10,553 May 12, 2016 #33,960 youngblood said: Mke wa mtu hana gharama kaka. Click to expand... hahaahhahha kama kwenda uwani syo???
youngblood said: Mke wa mtu hana gharama kaka. Click to expand... hahaahhahha kama kwenda uwani syo???