Ndio unipe na kidude basi....
Huo ndio ulinzi unatakiwa [emoji41]
Neno la kichokozi hilo shunie..[emoji848][emoji848][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nakojoaaaaaaaaaaaaaaaaa
Kuuuumbe!Hivi vibegi ndio kazi yako..
Ukiona wanaume wa hivi ogopa..
View attachment 879148View attachment 879149View attachment 879151View attachment 879153
Wala
Kirahisi tu anisahauHela gani ww anamsahau mkewe
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] kidude gani hchoNdio unipe na kidude basi....
Huo ndio ulinzi unatakiwa [emoji41]
Kweli kabisa My dear! Hiyo sauti unajua vile inanipaga tabu... nimekumiss sana aseee....Wouzeeeeerrrr wouzeeeeeerrrr [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] sema kweli slim nimekumiss halafu
Mkuu kuna sehemu nilikuwa .... daaaah.... nimeamua kurudi Ofisini kusoma Magazeti ya leo!Angalia isikute mbaba wa watu amekimbilia sabuni asubuhi hii [emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu nimerudi Ofisini kusoma MagazetiPole sana mkuu.
Kwahiyo ulienda washroom ama ? [emoji23][emoji23]
Cc @Sakayo
Mkuu huendi kwenye Uzinduzi wa TAZARA flaiova?