Tutakuwa wote bwanaaa.
Tukapate hata moja moto moja baridi pale George and Dragon. Lakini sasa kila nikitak kuja huko najikuta nashindwa...Ila tuombe uzima tutaenda tuuu