Asante binamu yangu kwa kushukuru nakupenda mmAsante kwa magazeti aunt yangu mwenyewe. Asubuhi njema.
Tumosa umesoma magazeti lakini? Au ndo umekaa unamshangaa anko Lyon Lee anavyokuja na kupoteapotea
Slim5 na ningendako magazeti hayo someni msije mkashangaa aunt yangu anazima moto maana wikend haidanganya. Unaweza kuta anakazana saa hii Moto ukazima
Kweliii hauzim
Haya lini nilikuwa na undg na baba ako ndugu
Mfyuuuuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Bibi wee siyo lazima uwe na undugu na baba angu,we itikia salamu acha kukwepaHaya lini nilikuwa na undg na baba ako ndugu
Viwanja vyako mkuuu [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]Wakati unalia lia kukosa nauli ya kupanda daladala kwenda kazini...
Kuna kajamaa kapo samaki samaki kanalipa bill ya 2.5million [emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 846432
Wakati unalia lia kukosa nauli ya kupanda daladala kwenda kazini...
Kuna kajamaa kapo samaki samaki kanalipa bill ya 2.5million [emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 846432
Tuko poa za wwBila shaka mko poa jukwaa hili pendwa la makapuku
E&K
Ngoja tuendeleze week end ,chenji za Jana tuzimalizie View attachment 846464
[emoji767]101-03-821.M|T|C
Bibi wee siyo lazima uwe na undugu na baba angu,we itikia salamu acha kukwepa
Sent using Jamii Forums mobile app
Viwanja vyako mkuuu [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
SawaaHivyo ulivyoweka hapo juu siendani navyo kabisa
Ongeza njegere au harage
E&K