Mwenzetu leo vp[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
MfyuuuuuuuuuWoiiii kataaa tu muulize tumosa anazijua hizo picha mpaka za kugeuka
Akuuuuuu
Mfyuuuuuuuuu
ShauriloMfyuuuuuuuuu
Nikajua kuna hatari kumbe hakunaIla ni nn mbona mnakimbizana
Sema kweli akiKwangu ukiona picha ya mgongo tu juwa muhusika ni mm mwenyewe
Una uhakika na ayanenayo?Shaurilo
Nikajua kuna hatari kumbe hakuna
Huo ndio ukweli jamani siweki mapicha ya watu nisije nikashtakiwa na basataSema kweli aki
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mngh!Huo ndio ukweli jamani siweki mapicha ya watu nisije nikashtakiwa na basata
Mzima luq
Mumeo wangu yupo busy yaani mpaka mda wa kuingia jf anakosa jamani
Mngh!
Okay basi kheri
EbuuuuuMfyuuuu nn huko
Tuendelee mkuu kama wahindi[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nikajua kuna hatari kumbe hakuna
Nani mm[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Una uhakika na ayanenayo?
HahahhahaàaaaaaTuendelee mkuu kama wahindi[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sipelelezi, tatizo huwa anatuaminisha yeye ni kibonge ilhali hiyo picha inaonesha ni portableNani mm[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Unataka ugundue nn kupeleleza huko