...kuna jipya?
asante kwa mastori mazuri, nami nimekuja sasa mida yangu kama kawaida
Mafungu yote atakayokugawa nitayachukua mimi.... Wacha hasira basi [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Ohooo.... Sasa na sisi wenzio mbona unatuwekea vizingiti... Nipe Namba ya mdogo wako banaMpendwa wanguu
Upambe mwingine baana![emoji23] [emoji23]Ndo nani wako vile!!? [emoji42]
WaaaaaoooouuuuuMpendwa wanguu
Utaelewa tu... Ngoja nipewe namba yako na dadaakoSina nilichoelewa shunie mm
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Upambe mwingine baana![emoji23] [emoji23]
Peleka basi hela ya Azam milkWaaaaaoooouuuuu
Wewe tulia ,mengine ya chumbani - jando na unyago havijatupita kushotoPeleka basi hela ya Azam milk
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jiandae kisaikolojia ww na wakundaji[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Shenzy we
Shikamoo binamu...kuna jipya?
asante kwa mastori mazuri, nami nimekuja sasa mida yangu kama kawaida
[emoji85] [emoji85] [emoji85] nisamehe babuWe mjukuu mwee... Utasutwa... Shauri yako
Shikamoo binamu
Shikamoo binamu
Pole na mambo yte binamuMarhaba aunt yangu, hujambo. Siku imekuwa nzuri upande wako naamini
Hatujambo kabisa binamu shaka yetu kwakoMarhaba binamu, naamini uko poa kabisa na kina JJ
Pole na mambo yte binamu
Hatujambo kabisa binamu shaka yetu kwako
Hongera binamu..usinipe pole, nipongeze kwa mambo yote, mabaya mengi na mazuri machache
Hapana uwe jasiri tunataka...ondoeni shaka, mkitia shaka napata hofu na hofu ikipata mimba inaleta uoga. Unataga niwe muoga binamu yangu?