Njema kbsa za mapumzikoAsante dadake pole nawe habar za jumapili
Vp umzima Manga[emoji8]
Njema tupo tunamilizia sikuNjema kbsa za mapumziko
Asante[emoji120] [emoji120] [emoji120]Njema tupo tunamilizia siku
Asante shunie wapi?Asante[emoji120] [emoji120] [emoji120]
[emoji4] [emoji4] [emoji4]Salama kabisa.
Mkuu mndali ndanyelakukomu,Asante dadake pole nawe habar za jumapili
Ofcourse shemu nimemuona.Hope umemuona nawe
Jambo afande?[emoji4] [emoji4] [emoji4]
Naam kamandaMkuu mndali ndanyelakukomu,
Natanguliza salamu.
Nashukulu mzima khofu kwenu wadau wa humuVp umzima Manga
Nalitafuta jua siku ya tatu leoPolen huku mawingu tu
KaribuSalama kabisa. Mvua tu.
Shemeji shemeji nakuonaNjema za Hapo ulipo
My swiHuku kwema pole na mihangaiko
Asante sana. Familia haijambo?Karibu
Haijambo kabisa, za pande hizoAsante sana. Familia haijambo?
Mungu anasaidia kila kitu kinaenda salama.Haijambo kabisa, za pande hizo
Habar ni nzuri,Naam kamanda
Mi mzima kabisa habari ya ujenzi wa Tanzania yetu
Nashukuru mkuuHabar ni nzuri,
kwakweli Mungu anasaidia.