Makapuku Forum

[emoji524]1WATHESALONIKE 5

17.Ombeni bila kukoma


Tunakumbushwa kuomba.

Tusiache kuomba.

Omba kazini,Nyumbani,
Safarini,Shambani,kwenye biashara,hospitali,Ukiwa na shida,Ukiwa na raha popote unapokuwa.

Kuna nguvu katika maombi.

Omba mpaka unachokiombea

kitokee wala usikate tamaa.

MUWE NA USIKU MWEMA JAMANI DAMU YA YESU IWALINDE [emoji7] [emoji120]
 
Na kwako pia mdogo wangu
 
Hbr ya asubuhi hii wapendwa,nawatakia mwanzo mwema wa wiki iwe na mafanikio kwetu sote[emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…