TOP TEN
Leo ni siku ambayo wengi wapo bize halafu Sakayo kaaga ila atarejea ila muda haujajulikana
Sijui T nae atauchuna kama ile couple fulani ambayo baada ya jamaa kula ban nae akajipa likize......Enewei kila mtu aangahike na hali yake maana hii sio habari!!
Leo tucheki wanyama kumi hatari,...kuna wenye nguvu,kuna wenye sumu
Karibuni
......