TataMadiba
JF-Expert Member
- Feb 7, 2014
- 9,868
- 5,753
Sironga,classmate wangu, Tulia rafiki,CDM asili itarudi baada ya 25Oct. Mbowe lazima aondolewe nafasi ya uenyekiti.
Kwani Mbowe akiondoka baada ya 25/10 ana shida gani? Na ameshalamba Bilioni zake? Maisha yeye na Familia yake yanaendelea bakini na Chadema Asili yenu
...classmate wangu..mwingine bilioni 10, wote mna mawazo mfu! CDM ipo kwa ajili ya wote wenye mapenzi mema. Monduli imeshakua ya chadema nyie endeleeni kulia lia tu na hao wawili walioondoka,wkt tulishaona mamia wakihamia chadema.
Tunapowaambiwa kuwa wapinzani hawajajipanga sio kwamba tunatania bali tunamaanisha. sasa mtu anahamia leo na kuwa mgombea. hivi mmewahi kusikia yeyote aliyehamia ccm hata kama ni maarufu kiasi gani kupata nafasi ya kugombea?
Tunapowaambiwa kuwa wapinzani hawajajipanga sio kwamba tunatania bali tunamaanisha. sasa mtu anahamia leo na kuwa mgombea. hivi mmewahi kusikia yeyote aliyehamia ccm hata kama ni maarufu kiasi gani kupata nafasi ya kugombea?
Sironga,classmate wangu, Tulia rafiki,CDM asili itarudi baada ya 25Oct. Mbowe lazima aondolewe nafasi ya uenyekiti.
...classmate wangu..mwingine bilioni 10, wote mna mawazo mfu! CDM ipo kwa ajili ya wote wenye mapenzi mema. Monduli imeshakua ya chadema nyie endeleeni kulia lia tu na hao wawili walioondoka,wkt tulishaona mamia wakihamia chadema.
Walikuwa wapi? Wasijitoe kabla ya kampeni
Wapinzani wamejipanga sana na nitishio kwa uhai wa ccm na ndio maana ccm wanawanunua baadhi ya waroho, Ccm mnafanya siasa ya hovyo ya kuwanunua/kuwahonga hela ili ionekane watu wanajitoa chadema, kumbe kwa shinikizo la pesa chafu, mdawti, shule, hospital, maji hamna, ninyi mnahonga mtu mmoja hela kibao na wakati huo bado kura atatpiga kwa Ukawa