Makapi ya nini/ AHHHK

Mr. Chin bwana. Hata Mr. Zero naye analala majukwaani? Juzi hapa nilimsikia akijilinganisha na Che Guevara nikacheka. Sijui hata kama anajua Che alikuwa nani na alifanya nini. Madaraka matamu!
 
Hakuna mwaka Ccm imebanwa mbavu kama huu 2015 !!viji thread uchwara kama hivi haviwezizuia mabadiliko,wenzenu Gaddafi na Hosni Mubaraka walitumia mpaka majeshi ili kuzuia mabadiliko lakini ilishindikana..CCM OUT
 
Lazima ccm mwaka huu mkubali tu...mbona mmetawala sana hebu jaribuni ukawa.
 
Watakuja na reply zao za matusi kama kawaida yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…