w0rM
Member
- May 3, 2011
- 96
- 231
Tanzania tunafahamu kuwa tuna Majeshi ya aina tofauti na yote yana viongozi wake, Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) lililo chini ya Jenerali Jacob John Mkunda lina Kamandi 5 - Kamandi ya Jeshi la Wanamaji, Kamandi ya Jeshi la Nchi Kavu, Kamandi ya Jeshi la Anga, Kamandi ya Makao Makuu ya Jeshi, Kamandi ya Jeshi la Akiba na Jeshi la Kujenga Taifa.
Sasa leo Rais akiwa amevalia gwanda za Jeshi na akisema kwa mamlaka aliyonayo kama Amiri Jeshi Mkuu huku akiwa uwanja ukiwa umetawaliwa na Wanajeshi amesema amezindua Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa, na tujua Makao Makuu ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) yapo Msalato Dodoma
Sasa leo Rais amezindua nini? Na hicho alichozindua kipo chini ya nani? Na Majukumu yake ni yepi?
Soma: Dodoma: Rais Samia azindua Makao Makuu ya ULINZI wa Taifa